Sio Kweli Chanjo Ya Polio Haisababishi Kuhara Kwa Watoto
Kulingana na mtandao wa RXLIST athari za polio zipo lakini kwa kiwango cha chini sana. mfano kuna watakaopata ;wekundu, uvimbe, maumivu katika sehemu waliodungwa sindano, homa, uchovu,maumivu ya viungo,maumivu ya mwili, au kutapika lakini dalili hizi ni kwa watoto wachache.