Malalamishi Kuhusu Ujenzi wa Zahati ya Baghau
By Denviz Mwazighe Iwapo ujenzi wa Zahanati ya Baghau-katika wadi ya Ronge utakamilika kwa wakati, basi itakuwa afueni kubwa kwa wakaazi wa maeneo ya Baghau, Msangachi,Mdundonyi na Kironge, ambao hulazimika kutembea mwendo mrefu kutafuta huduma za matibabu. Katika mahojiano na wakaazi wa maeneo hayo wakiongozwa na mwenyekiti katika ujenzi wa zahanati hiyo Bi. Mercy Mwatabu, […]