Umuhimu wa Chanjo ya Polio
By Caroline Wambere Polio ni ugonjwa unaosababishwa na kirusi ambacho madhara yake husababisha kupooza na basi kuchangia ulemavu. Kukabiliana na polio, chanjo inahitajika. Chanjo ya polio hupatiwa watoto walio chini ya umri wa miaka mitano;wakizaliwa, wakiwa na wiki sita, 10 na 14 mtawalia. Mwaka jana, serikali ilitangaza hali ya hatari baada ya visa vya polio […]