Hali ya Miundomsingi Kaunti ya Isiolo
Kwa miaka mingi, kaunti ya Isiolo imeshuhudia hali duni ya miundomsingi kama barabara. Hapo awali, hali hii ilichangia wakaazi kuandamana kama njia moja ya kushurutisha serikali kukarabati barabara mbovu. Kulingana na ripoti ya CDIP, kaunti ya Isiolo iko na mtandao wa barabara wa kilomita 1275.5. Kati ya hii, kilomita 42 ni za lami. Kama njia […]